Familia zaendelea kujitokeza kudai majibu ya polisi ya waliko vijana

  • | Citizen TV
    1,179 views

    Wako wapi Maurice na Mohammed? Ndio suali wanalouliza familia mbili zilizojiwasilisha katika kituo cha polisi cha Kitengela kuwatafuta wapendwa wao waliokamatwa na polisi ijumaa iliyopita. Ni suali ambalo polisi walishindwa kujibu ikidaiwa kuwa watu hao wamekuwa wakihamishwa kutoka kituo kimoja cha polisi hadi kingine