Familia zaidi ya 4,000 Voi kunufaika na kisima kipya cha maji

  • | KBC Video
    14 views

    Familia zaidi ya 4,000 katika eneo bunge la Voi, kaunti ya Taita Taveta, zinatarajiwa kunufaika na kisima kipya cha maji kinachotarajiwa kukomesha tatizo la uhaba wa maji la muda mrefu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive