4 Nov 2025 10:25 am | Citizen TV 346 views Duration: 1:19 Familia zaidi ya 5,000 kutoka wadi ya Kyome Thaana eneo mbunge la Mwingi West kaunti ya Kitui watanufaika na maji ya bwawa la Thokoa.