Familia zaidi ya 800 zaachwa bila makao Tana River

  • | Citizen TV
    1,239 views

    Familia zaidi ya mia nane kutoka vijiji vya Mororo, Bakuyu, Ziwani eneo la Madogo, kaunti ya Tana River zimeachwa bila makao kutokana na mafuriko baada ya mto Tana kuvunja kingo zake. Mvua kubwa inayozidi kunyesha imesababisha uharibifu mkubwa huku familia zilizoachwa bila makao zikihitaji msaada.