Familia zaidi zajitokeza kudai kupotea kwa jamaa

  • | Citizen TV
    4,650 views

    Na Huku rais William Ruto akisistiza kuwa serikali yake haitahusika na visa vya utekaji nyara na mauaji ya kiholela ya raia, familia zaidi zinawatafuta wapendwa wao. Kwenye kikao na umma katika kaunti ya Mombasa, rais Ruto alizitaka familia ambazo zinadai wapenda wao wametoweka wakati wa maandamano ziwasilishe ripoti rasmi huku akiahidi kuwa atashughulikia suala hilo binafsi.