Familia zaidi zinaomboleza vifo vya wapendwa wao

  • | Citizen TV
    1,240 views

    Familia zaidi bado zinaomboleza vifo vya ghafla vya wapendwa wao ambao waliaga dunia baada ya kupigwa risasi Jumatatu wakati wa maandamano ya saba saba. Huku takiwimu zikiashiria kuwa zaidi ya watu ishirini walifariki kutokana na majeraha ya risasi, familia za waathiriwa zimesema kuwa waliouwawa hawakuwa wakishiriki maandamano.