Familia zakumbwa na unyanyapaa kuhusu jamaa wao waliofaiki Shakahola

  • | Citizen TV
    223 views

    Huenda nusu ya idadi ya miili iliyofukuliwa katika msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, ikakosa kuchukuliwa na familia zao kutokana na unyanyapaa.