Familia zaomboleza vifo vya wapendwa wao kufuatia ajali ya barabarani huko Kitale

  • | KBC Video
    147 views

    Ajali mbaya ya barabarani iliyotokea jana katika barabara kuu ya Eldoret kuelekea Kitale iliyosababisha watu-11 kuangamia imeziacha familia zilizoathirika zikiwa zimesononeka. Lakini familia moja katika kaunti ndogo ya Likuyani,kaunti ya Kakamega imeathirika pakubwa kwa kupoteza watoto wao wawili wa kiume. Mwanahabari wetu Ben Chumba na kina cha taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive