Familia zatambua miili katika Makafani ya City Nairobi

  • | Citizen TV
    2,660 views

    Familia tatu zilizopoteza wapendwa wao wakati wa maandamano ya kuwakumbuka waliouawa mwaka jana wameendelea kufika katika makafani ya city kutambua miili hiyo na kudai haki.