Familia zazidi kulaumu polisi kwa hali za jamaa zao

  • | Citizen TV
    1,904 views

    Familia za waathiriwa waliojipata mikononi mwa maafisa wa usalama wanaendelea kudai haki huku baadhi wakiendelea kudai kuwa hawakuwa na hatia. Mama mmoja katika kaunti ya Kisumu kwa sasa akiombea wanawe wawili walio katika chumba cha magonjwa mahututi baada ya kupigwa na maafisa wa usalama. Laura Otieno na mengi zaidi huku Familia zadi kutoka kaunti za Siaya, Kisumu, Homa Bay na Migori zikiomboleza jamaa zao.