- 5,017 viewsDuration: 4:10Familia, Jamaa na marafiki wa Rachael Muthoni Wandeto, mwanamke aliyefariki baada ya kumwagiliwa kemikali kutokana na mchoro wa Rais William Ruto begani, walazimika kuzika mgomba nyumbani kwao, hii ni baada ya mzozo kuchipuka kati ya familia ya marehemu na mumewe Wandeto ambaye alielekea mahakamani kusitisha mazishi ya mkewe kule Kirinyaga. Mgogoro huo ukiacha waombolezaji vinywa wazi waliokuwa wakisubiri kwa hamu katika uwanja wa Kerugoya ambapo ibada ya wafu iliratibiwa kufanywa na kisha kuzikwa kijijini Kabumbu.