Familia zilizoathirika na ukame Turkana, zanufaika na msaada

  • | Citizen TV
    64 views

    Familia elfu moja na themanini zilizoathirika na ukame kaunti ya Turkana zimenufaika na msaada kutoka kwa mashirika yasiyo ya kiserikali. Msaada huu ukiwa mojawapo ya njia za kukabiliana na viwango vya juu vya utapiamlo miongoni mwa watoto Turkana kaskazini na magharibi ambako visa vingi viliripotiwa baada ya ukame.