Familia zinazoishi kambini Baringo zahangaika kutokana na mafuriko yanayoendelea nchini

  • | Citizen TV
    1,294 views

    Familia Zinazoishi Katika Kambi Za Wakimbizi Wa Ndani Katika Kaunti Ya Baringo Wanahangaika Mara Kufuatia Mvua Kubwa Inayoshuhudiwa Katika Maeneo Mbalimbali Nchini. Wakimbizi Hao Waliotoroka Kwao Kufuatia Uhalifu Na Wizi Wa Mifugo Sasa Wako Katika Hatari Ya Kupata Magonjwa Yanayotokana Na Mafuriko. Emily Chebet Anaarifu Kuhusu Athari Za Mvua Nchini.