- 466 viewsMajengo mengi katikati mwa jiji la Johannesburg, Afrika Kusini, ambapo moto mbaya ulizuka na kuua zaidi ya watu 70, yanachukuliwa kuwa hayafai kuishi watu. Hata hivyo majengo hayo ya zamani, yaliyotelekezwa na wamiliki wake au mamlaka ya jiji, yamejaa familia ambazo zinalipa kodi kwa magenge ya wahalifu wanaokodisha majengo hayo kwa sasa. Majengo hayo, ambayo hayana maji ya bomba, vyoo vichafu au umeme wa wizi, yanaitwa kuwa "yametekwa nyara". #bbcswahili #afrikakusini #moto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Familia zinazoishi katika majengo 'yaliyotekwa nyara' Johannesburg
- - Duniani Leo ››
- 19 Aug 2025 - Vehicles used to smuggle goods to be handed to the State, says judge
- 19 Aug 2025 - DPP challenges the acquittal of terror suspects in explosives case
- 19 Aug 2025 - Justice on sale: How racketeers at Busia courts are exploiting suspects, widows
- 19 Aug 2025 - Parliamentary group meeting turned stormy due to leaders' sustained accusations of bribery against the National Assembly.
- 19 Aug 2025 - Group C- Painful exit awaits either Uganda, Algeria, or South Africa
- 19 Aug 2025 - What was presented to rice farmers as a solution to weeds has now become a nightmare.
- 19 Aug 2025 - It is important for Kenyans who intend to apply for a U.S. visa to be aware of recent
- 19 Aug 2025 - Auditor cites inaccurate record keeping, unsupported expenditures as among the challenges.
- 19 Aug 2025 - He’s reportedly determined to uncover who sidelined him and why, given his influential position.
- 19 Aug 2025 - Land has a vital role in sustaining human communities, nurturing diverse ecosystems, and regulating the climate of our planet.