Farasi mdogo zaidi duniani

  • | BBC Swahili
    687 views
    Farasi huyu anayeitwa Pumuckel ana urefu wa sentimita 50 tu na uzani wa kilo 35 tu. Pumuckel anapendwa sana na mmiliki wake, Carola, na anatumaini kuwa ataingia katika Kitabu cha Rekodi za Dunia cha Guinness kama farasi mdogo zaidi duniani atakapofikisha umri unaostahili. #bbcswahili #Uingereza #farasi