- 11,815 viewsDuration: 2:15@farhiya_elmy ni mtaalamu wa sayansi ya bahari kutoka Tanzania anayejulikana kama "Hijab Diver'. Hupiga Mbizi (Diving) akiwa amejistiri na kufanikiwa kivunja vikwazo vya kijinsia na kitamaduni katika fani ya sayansi ya baharini. Amezungumza na @martha_saranga katika WARIDI WA BBC na kuandaa taarifa hii. Kutazama kwa urefu mahojiano haya tembelea Youtube ya BBCSwahili 🎥: @frankmavura #bbcswahili #waridiwabbc #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw