- 22,450 viewsDuration: 29:41Farhia Elmy ni mtaalamu wa sayansi ya bahari kutoka Tanzaniaanayejulikana kama "Hijab Diver'. Farhia hupiga Mbizi (Diving) akiwa amejistiri na kufanikiwa kivunja vikwazo vya kijinsia na kitamaduni katika fani ya sayansi ya baharini na upigaji mbizi. Licha ya changamoto na matarajio ya familia kuwa daktari wa binadamu, alichagua kufuata ndoto yake kuwa mtaalamu wa sayansi ya bahari. Leo, kupitia kampuni yake anatoa ajira kwa vijana na wanawake huku akihamasisha uhifadhi wa bahari. Amemsimulia mengi Martha Saranga katika WARIDI WA BBC. #bbcswahili #tanzania #hijabidiver Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw