"FBI" Osoi ashtakiwa

  • | Citizen TV
    147 views

    Mahakama ya Kahawa inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu ombi la upande wa mashtaka linalotaka aliyekuwa afisa wa KDF Patrick Osoi, azuiliwe kwa siku 14 ili kutoa nafasi kwa uchunguzi zaidi.