Felix Koskei asema msasa katika mamlaka ya KEMSA utaendelea ili kuimarisha utoaji huduma.

  • | Citizen TV
    156 views

    Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei amesema kuwa msasa katika mamlaka ya usambazaji dawa na vifaa vya matibabu kemsa utaendelea hadi pale mamlaka hiyo itakapojinyanyua kutoka kwa ufisadi na kuimarisha utoaji huduma.