Ferdinand Waititu adaiwa kukamatwa na maafisa wa DCI

  • | KBC Video
    109 views

    Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu hajulikani aliko saa kadhaa baada ya kudaiwa kutekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa maajenti wa usalama wa serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive