Fernandez Barasa wa ODM ndie mshindi wa uchaguzi wa ugavana Kakamega

  • | Citizen TV
    7,536 views

    Katika kaunti ya Kakamega, Fernandez Barasa wa chama cha ODM ndie amekuwa mshindi wa kinyang'anyiro cha ugavana kilichofanyika hapo jana. Baraza akimbwaga mpinzani wake wa karibu cleopas malala wa chama cha anc. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, ushindi wa Barasa pamoja na Abdulswamad wa Mombasa bado umekosa kuupa mrengo wa Azimio One Kenya nafasi zaidi kwenye baraza la magavana ikilinganishwa na wenzao wa Kenya Kwanza.