FIFA yazindua mradi wa shilingi milioni 639 kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    454 views

    Kaunti ya Machakos imeteuliwa kuwa makao mapya ya mradi wa soka ambao utagharimu shilingi milioni 639. Mradi huo ambao ni ushirikiano kati ya kaunti ya Machakos na shirikisho la kandanda nchini fkf pamoja na fifa umezinduliwa hii leo mjini Machakos.