Foleni ndefu zashuhudiwa kwenye maghala ya NCPB

  • | Citizen TV
    238 views

    Foleni ndefu zimeendelea kushuhudiwa kwenye afisi za bodi ya nafaka na mazao nchini NCPB, wakulima wakisubiri mbolea za bei nafuu. Katika kaunti ya Trans Nzoia, wakulima wamelalamikia kuhangaika kwa takriban miezi miwili kusubiri mbolea ya nafuu. Collins Shitiabayi anaarifu huku wakulima wakipoteza matumaini ya mazao bora msimu huu