Foleni za magari Nairobi ni baada ya barabara kadhaa kufungwa

  • | Citizen TV
    1,991 views

    Msongamano mkubwa wa magari ulishuhudiwa kwenye barabara kadhaa jijini Nairobi na viunga vyake baada ya barabara muhimu kufungwa kabla ya kivumbi cha Harambee Stars na Madagascar