22 Aug 2025 7:12 pm | Citizen TV 5,129 views Duration: 2:40 Msongamano mkubwa wa magari ulishuhudiwa kwenye barabara kadhaa jijini Nairobi na viunga vyake baada ya barabara muhimu kufungwa kabla ya kivumbi cha Harambee Stars na Madagascar