Francis Muthaura azindua kitabu chake cha 'A Moving Horizon'

  • | Citizen TV
    869 views

    Viongozi mbalimbali walijitokeza kwenye uzinduzi wa kitabu cha aliyekuwa mkuu wa utumishi wa umma francis muthaura.Miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na aliyekuwa mkurugenzi wa DCI George Kinoti. kupitia kitabu chake, A Moving Horizon, Muthaura ameelezea maisha yake , utendazi wa serikali alipokuwa akihudumu kama mkuu w autumishi wa umma pamoja na masaibu yake katika mahakama ya kimataifa ya icc.