Fred Obachi Machoka asherekea babake Mathew Obachi huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya akina baba

  • | Citizen TV
    1,120 views

    Ulimwengu leo umeadhimisha siku ya kina baba hii leo huku baadhi ya familia zikiungana kusherehekea siku hii kwa njia tofauti. Katika familia moja mjini Kisii, jamaa wa mtangazaji maarufu Fred Obachi Machoka walijumuika kusherehekea kizazi cha kuanzia babu hadi vitukuu. Sherehe hii ikiandaliwa kusherehekea maisha ya Mzee Mathews Obachi Machoka, Kama Chrispine Otieno anavyotuarifu