Funza wahangaisha wanafunzi maeneobunge ya Mumias na Butere kaunti ya Kakamega

  • | Citizen TV
    427 views

    Baadhi ya wanafunzi kutoka eneo Bunge la Mumias Magharibi na lile la Butere Katika kaunti ya Kakamega wamelazimika kukatiza masomo yao baada ya kuathirika na funza.