FUS de Rabat 82 – Petro de Luanda 73

  • | VOA Swahili
    60 views
    Timu ya Morocco FUS de Rabat imeifunga timu ya Angola ya Petro de Luanda 82 – 73 katika ufunguzi wa michuano ya msimu wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) 2024. #bal #FUS #Petro #morocco #angola #voa