FUS de Rabat 86 – Petro de Luanda 89

  • | VOA Swahili
    68 views
    Furaha iliendelea huko Sunbet Arena mjini Pretoria Alhamisi wakati timu ya Morocco ya Fus de Rabat na timu ya Angola Petro de Luanda walipopambana kwa mara ya pili katika uwanja wa Kalahari wa Ligi kwa Mpira wa Kikapu Afrika. Katika mechi ya ufunguzi msimu huu, Fus de Rabat iliibuka ikiongoza kwa ushindi wa 82 -73 dhidi ya Petro, lakini Alhamisi, Petro iliichapa Fus de Rabat katika mechi iliyokaribia kuwa na matokeo ya karibu sana ya 89-86 #bal #FUS #Petro #morocco #angola #voa