Gachagua abadili mkondo kuhusu hoja ya kumbandua ofisini

  • | TV 47
    349 views

    Huku mswada wa kumbandua mamlakani Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ukisemekana kutarajiwa kwenye bunge la kitaifa ndani ya saa 48 zijazo, Naibu wa Rais sasa anaonekana kubadili mkondo huku akipigia upato mazungumzo ya maelewano kati ya viongozi ili kumaliza malumbano ya kisiasa.

    #TV47Wikendi #BingwaWaWiki

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __