Gachagua adai kuwepo na genge la vijana eneo la Mlima Kenya linalofadhiliwa na serikali

  • | K24 Video
    1 views

    Naibu rais wa zamani Rigathi Gachagua amedai kuwepo na genge la vijana eneo la mlima kenya linalofadhiliwa na serikali kuwahangaisha wakaazi wa eneo hilo.Gachagua amedokeza kuwa genge hilo sawia na lile la Mungiki linajulikana kwa maujai, sasa anawataka wabunge kutoka eneo hilo kuiandikia mahakama ya kimataifa, ICC kuhusiana na genge hilo ili uchunguzi kabambe ufanyike