Gachagua aelekea Rwanda kuhudhuria kumbukumbu ya mauaji ya halaiki

  • | KBC Video
    34 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ameondoka nchini kuelekea nchini Rwanda kumwakilisha Rais William Ruto katika kumbukumbu ya 30 tangu kutokea kwa mauaji ya halaiki ya Rwanda siku ya Jumapili. Chini ya kaulimbiu "Kumbuka-Unganisha- fanya upya", hafla hiyo kwa jina Kwibuka 30' ni shughuli ya wiki nzima ya ukumbusho wa mauaji ya halaiki ambayo yaliangamiza maisha ya zaidi ya watu milioni moja katika siku 100 kuanzia tarehe 7 mwezi Aprili mwaka 1994.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive