Gachagua ailaumu serikali ya Kenya Kwanza kwa kumtimua

  • | Citizen TV
    5,437 views

    Kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua ameendelea kumshambulia Rais William Ruto kwa kumtimua serikalini kwa tuhuma anazodai zilikuwa za uongo.