Gachagua akanusha kuwashirikisha wahuni katika maandamano

  • | KBC Video
    88 views

    Kiongozi wa chama cha DCP na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amekanusha madai kwamba alihusika kupanga na kufanikisha maandamano ya Jumatano wiki hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive