- 16,613 viewsDuration: 2:53Matamshi ya Rigathi Gachagua akiwafokea magavana Anne Waiguru na Cecily Mbarire yamemchongea baada ya wakazi wa Kirinyaga, Embu na Nakuru kuandamana wakimtaka Gachagua kuheshimu viongozi wao. Wakazi hao wamedai matamshi ya Gachagua yalilenga kudunisha uongozi wa wanawake nchini na kumtaka kuomba msamaha