- 1,229 viewsDuration: 1:08Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amekashifu ubomoaji unaotekelezwa sehemu mbali mbali hapa jijini akiutaja kuwa ubaguzi wa wafanyabiashara wadogo. Gachagua kwenye kikao na wanahabari ameisuta serikali ya Rais Ruto, akisema imekiuka ahadi zake za awali za kutowafurusha wakenya wala wafanyibiashara kwa njia za kikatili. Ubomozi huo umekuwa ukiendelea maeneo ya Githurai, Roysambu, Dandora na soko la Uhuru.