Gachagua amtaja Ruto kwa makosa ya kimataifa

  • | K24 Video
    132 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ametoa mashitaka mazito dhidi ya rais William Ruto akimlaumu kwa ukikaji wa haki za binadamu, biashara haramu na makundi ya kigaidi, pamoja na kuhatarisha usalama wa kimataifa.