Gachagua amtaka Rais Ruto kuomba familia za Gen-Z msamaha

  • | Citizen TV
    2,115 views

    Kinara wa chama cha DCP Rigathi gachagua sasa anamtaka Rais William Ruto kufanya kikao na familia zilizowapoteza wapendwa wao katika maandamano ya Gen Z Mwaka jana. Akiongea huko thika kaunti ya Kiambu gachagua amesema ni sharti familia hizo kupokea fidia. Naibu Kinara wa chama cha DCP Cleophas Malala Pamoja na seneta wa Kirinyaga wamemtaka rais kusitisha siasa katika maeneo ya magharibi na kuhakikisha ametimiza ahadi alizotoa.