Skip to main content
Skip to main content

Gachagua apuuzilia mbali makubaliano ya serikali na sekta ya usafiri

  • | Citizen TV
    1,900 views
    Duration: 2:14
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua, amepuuzilia mbali makubaliano Kati ya Serikali na vyama vya wahudumu wa magari ya umma kuhusu kufutilia mbali mgomo wao wa kupinga bei za mafuta. Gachagua aliyezungumza nchini Uingereza anakoendelea na ziara yake alisema ahadi ya kufanya mazungumzo na kuafikiana chini ya siku saba bila kutoa mwelekeo na msimamo dhabiti kwa wakenya ni ahadi hewa.