Gachagua asema kuna njama ya kuiba kura ya urais katika uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    4,418 views

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua anasisitiza kuwa kuna njama ya kuiba kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Akihudhuria ibada katika eneo la Gatanga, kaunti ya Muranga, Gachagua alikana kwamba anachochea fujo na kusisitiza kwamba Wakenya wanataka uwajibikaji wa tume ya uchaguzi nchini IEBC.