Gachagua asema serikali itabuni kamati ya kitaifa ya kukabiliana na hali za dharura wakati wa elnino

  • | Citizen TV
    238 views

    Naibu wa rais Rigathi Gachagua amesema serikali itabuni kamati ya kitaifa ya kukabiliana na hali za dharura wakati huu taifa linapotarajia mvua kubwa ya elnino. Kulingana naye, kamati hiyo itabuni mikakati ya kukabiliana na hali yoyote ya dharura ambayo inaweza kusababishwa na elnino.