Gachagua asema serikali itastawisha kaunti ya Nairobi

  • | KBC Video
    35 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anasema serikali inapania kustawisha kaunti ya Nairobi katika juhudi zake za kuhakikisha kuwa jiji la Nairobi linadumisha hadhi yake kama mji mkuu wa Kenya na kituo cha kiuchumi, kiutawala na kitamaduni cha nchi. Akizungumza leo katika hafla ya kuchangisha fedha kwa mpango wa kuwawezesha Wanawake katika eneo bunge la Langata katika uwanja wa Nyayo, jijni Nairobi, Gachagua alisema Jiji hili ni muhimu sana na ni sharti huduma zitolewe kwa njia ifaayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive