Skip to main content
Skip to main content

Gachagua asifia Raila, awahimiza viongozi wa mlima Kenya kufuata maadili

  • | Citizen TV
    10,032 views
    Duration: 52s
    Aliyekuwa Naibu Rais , Rigathi Gachagua, amewataka wapiga kura wa eneo la Mlima Kenya kuzingatia maadili ya viongozi wanaowachagua, akisisitiza umuhimu wa kuwapuuza wanasiasa wanaopiga kelele za kisiasa bila maendeleo. Gachagua akizungumza kwa mara ya kwanza hadharani tangu kifo cha Raila Odinga pia alimsifu marehemu kama kiongozi anayestahili kuigwa na viongozi wengine.