Skip to main content
Skip to main content

Gachagua awajibu waliokosoa matamshi yake ya kuwataka wafunge vyama vyao na kujiunga na DCP

  • | NTV Video
    3,791 views
    Duration: 3:18
    Rigathi Gachagua amejibu ukosoaji uliomlenga na kuwasilishwa na wenzake wa upinzani ambao ni kinara wa PNU Peter Munya, wa DP Justin Muturi, na yule wa chama cha BUS, Lenny Kivuti, waliokashifu matamshi yake kuwa wafunge vyama vyao ili wajiunge na chama chake cha DCP. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya