Gachagua awataka vijana kumpa rais muda wa kutimiza ahadi alizotoa

  • | Citizen TV
    9,583 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua ametaka kundi la vijana la Gen Z kuwa na subira wakati Rais William Ruto anatekeleza mabadiliko kwenye serikali ikiwemo baraza la mawaziri. Hata hivyo, kiongozi wa chama cha DAP - K Eugene Wamalwa ameshikilia kwamba hatajihusisha kamwe na serikali ya rais William Ruto.