Gachagua, Kalonzo wasema wataibuni serikali ijayo

  • | Citizen TV
    1,859 views

    Siasa Za Upinzani Kitui Gachagua Na Kalonzo Waongoza Wanasiasa Tseikuru Wanashikilia Watamuondoa Rais Ruto Mamlakani 2027 Wanasema Wamejipanga Kuhakikisha Wanashinda Kura