Gachagua: Koimburi analengwa kwa kupinga Rais Ruto

  • | NTV Video
    3,353 views

    Kinara wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua amesema kosa la Mbunge wa Juja George Koimburi, anayeandamwa na kesi za ufisadi, ni kupuliza parapanda ya upinzani ya kumtimua Rais William Ruto mamlakani mwaka wa 2027

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya