Galole: Utulivu warejea baada ya maandamano dhidi ya tangazo la serikali kutenga maeneo ya usalama

  • | NTV Video
    148 views

    Hali ya utulivu imerejea katika Eneo Bunge la Galole,Kaunti ya Tana River siku chache tu baada ya wakazi kuandamana kupinga tangazo la gazeti rasmi la serikali lililotolewa tarehe 16 Mei 2025 na Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen. Tangazo hilo lilitaja maeneo matatu ya Galole kuwa maeneo ya usalama, yaliyotengwa kwa miradi ya serikali kama vile Chuo cha Ujasusi, uwanja wa ndege na miundo mbinu mingine.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya