Garissa: Mradi wa suluhisho la plastiki waanzishwa ili kukomesha uchafuzi

  • | NTV Video
    298 views

    Kenya ikiadhimisha Siku ya Mazingira Duniani kwa kauli mbiu “Mwito wa kimataifa kukomesha uchafuzi wa plastiki,” kwenye Kaunti ya Garissa, jamaa mmoja ameonyesha kuwa kuna suluhisho iwapo hatua zitachukuliwa na kuchakata taka kuwa mali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya